Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais Pierre
Nkurunzinza wa Burundi alipowasili eneo la mpaka kati
ya Tanzania na Burundi la Mugikomero wilayani Ngara mkoani Kagera kwa
upande wa Tanzania na eneo la Nteritare kwa upande wa Burundi wakati
wa sherehe za uzinduzi wa programu ya uimarishaji wa mipaka ya
kimataifa Jumatano Agosti 27, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi baada ya kuwasili eneo la mpaka kati ya Tanzania na Burundi la Mugikomero wilayani Ngara mkoani Kagera kwa upande wa Tanzania na eneo la Nteritare kwa upande wa Burundi kuhudhuria sherehe za uzinduzi wa programu ya uimarishaji wa mipaka ya kimataifa Jumatano Agosti 27, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi baada ya kuwasili eneo
la mpaka kati ya Tanzania na Burundi la Mugikomero wilayani Ngara
mkoani Kagera kwa upande wa Tanzania na eneo la Nteritare kwa upande
wa Burundi kuhudhuria sherehe za uzinduzi wa programu ya uimarishaji
wa mipaka ya kimataifa Jumatano Agosti 27, 2014. Wengine ni Waziri wa
Ardhi na Maendeleo na Makazi, Profesa Anna Tibaijuka na Balozi wa Burundi nchini Tanzania Mhe Issa Ntambuka
Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi akisalimiana na Waziri wa Nishati na Madini wa Tanzania Profesa Sospeter Muhongo eneo
la mpaka kati ya Tanzania na Burundi la Mugikomero wilayani Ngara
mkoani Kagera kwa upande wa Tanzania na eneo la Nteritare kwa upande
wa Burundi kuhudhuria sherehe za uzinduzi wa programu ya uimarishaji
wa mipaka ya kimataifa Jumatano Agosti 27, 2014.
Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi akisalimiana na baadhi ya Watanzania walikuwepo eneo la mpaka kati ya Tanzania na Burundi la Mugikomero wilayani Ngara mkoani Kagera kwa upande wa Tanzania na eneo la Nteritare kwa upande wa Burundi kuhudhuria sherehe za uzinduzi wa programu ya uimarishaji wa mipaka ya kimataifa Jumatano Agosti 27, 2014.
Sehemu ya umati wa wananchi wa Tanzania na Burundi kwenye sherehe za uzinduzi wa programu ya uimarishaji wa mipaka ya kimataifa Jumatano Agosti 27, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi baada ya kuwasili eneo la mpaka kati ya Tanzania na Burundi la Mugikomero wilayani Ngara mkoani Kagera kwa upande wa Tanzania na eneo la Nteritare kwa upande wa Burundi kuhudhuria sherehe za uzinduzi wa programu ya uimarishaji wa mipaka ya kimataifa Jumatano Agosti 27, 2014.
Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi akisalimiana na baadhi ya Watanzania walikuwepo eneo la mpaka kati ya Tanzania na Burundi la Mugikomero wilayani Ngara mkoani Kagera kwa upande wa Tanzania na eneo la Nteritare kwa upande wa Burundi kuhudhuria sherehe za uzinduzi wa programu ya uimarishaji wa mipaka ya kimataifa Jumatano Agosti 27, 2014.
No comments:
Post a Comment