MARAIS NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI WAKUTANA NA WAFANYABIASHARA WA MAREKANI
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Marais wa nchi za Afrika Mashariki, Paul
Kagame wa Rwanda, Yoweri Museveni wa Uganda, Uhuru Kenyatta wa Kenya na
Pierre Nkurunzinza wa Burundi, wakati
wa mkutano wao na wawekezaji wa Kimarekani uliofanyika Makao Makuu ya
Chama Cha Wafanyabiashara (US Chamber of Commerce) jijini
Washington DC
No comments:
Post a Comment