|
Katibu Mkuu wa
CCM, Abdulrahman Kinana na viongozi wengine akiwa amekaa baada ya
kusimikwa tena kuwa Chifu wa Wasukuma eneo la Migato, Itimila, leo.
Alipokuwa akizungumza na wanachama wa CCM katika Shina 15 katika Kata
ya Migato.kULIKulia ni Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape
Nnauye.*PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG |
|
Katibu Mkuu wa
CCM,Abdulrahaman Kinana akinywa kahawa aliyoinunua baada ya kuwasili
katika Kijiji cha Budalabujiga,wilaya mpya ya Itimila,mkoani Simiyu leo
katika ziara ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua utekelezaji wa Ilani
chama. |
|
Katibu wa Itikadi na Uebnezi wa CCM, Nape Nnauye akinywa kahawa katika Kijiji hicho |
|
Katibu Mkuu wa
CCM,Abdulrahaman Kinana akihutubia wananchi baada ya kuwasili katika
Kijiji cha Budalabujiga,wilaya mpya ya Itimila,mkoani Simiyu leo katika
ziara ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua utekelezaji wa Ilani
chama.*PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG |
|
Kinana akikagua
moja ya vyumba vya madarasa katika Shule ya Sekondari ya Kata ya Kanadi
katika Kijiji cha Nanga wilauyani Itimila |
Kinana akiwahimiza wanafunzi wa Shule ya Kanadi kusoma sana masomo ya sayansi
|
Mwenyekiti wa
UVCCM, Mkoa wa Simiyu,Njalu Silanga akitangaza kuchangia fedha kwa ajili
ya kuweka kuweka umeme wa jua pamoja na kununua TV kwa ajuli ya shule
ya Kanadi wilayani Itmila leo |
Nape akiwa na mtoto waliyemkuta na mamake katika Zahanati ya Nangale Katika Kata ya Ndolelezi
|
Kinana akiondoka baada ya kukagua Zahanati ya Nangale, wilayani Itimila |
Kinana akikangalia maginia ya mahindi yaliyohifadhiwa katika ghala la
Kikundi cha Saccos katika Kijiji cha Mwanihunda wilayani humo. Kila
mwananchi anayehifhadhi katika ghala hilo hulipa kila gunia sh. 100 kwa
mwezi.
|
Kinana akisimikwa
tena kuwa Mtemi wa Migato alipozungumza na wanachama wa shina namba 15
la Migato wakati wa ziara yake wilwywni Itimila leo. Alichangisha sh.
mil. 3.6 za kutunisha mfuko wa Saccos ya Shina hilo. |
|
Kinana akiwa amekaa huku akiwa amaevalia kitemi na fimbo yake. |
|
Akinywa maji kwa kutumia kikombe cha jadi |
|
Kinana na viongozi wengin wakila chakula cha asili cha kabila la wasukuma cha Mchembe kinachotokana na viazi vilivuokaushwa |
|
Kinana akisaidia kupiga plasta jengo la Ofisi za Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya mpya ya Itimila |
|
Kinana akiapandamtu katika kiwanja patakapojengwa ofisi za Mkuu wa Wilaya mpya ya Itimila |
|
Makao Makuu ya Muda ya Ofisi Mkuu wa Wilaya ya Itimila |
|
Dereva wa msafara
wa Kinana akisaka mtandao kabla ya kuanza kupiga simu. Katika wilaya
hiyo mpya inapatikana mitandao ya Vodacom na Tigo |
|
Kinana akiwa katika mkutano wa wandani na wanachama wa wilaya hiyo |
Kwaya ikitumbuiza wakati wa mkutano wa hadhara katika makao Makuu ya wilaya hiyo
|
Katibu wa Utikadi na Uenezi wa CCM,Nape Nnauye akihutubia katika mkutano huo wa hadhara |
Kinana akihutubia katika mkutano huo wa hadhara leo wilayani Itimila
No comments:
Post a Comment