- Mwenezi wa Chadema Wilaya ya Meatu arudi CCM pamoja na viongozi wengine wa Chadema
- Lugaila Madama aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema kata ya Mwandoya arudi CCM
- Miyeye Robert aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema kata ya Kisesa arudi CCM
Aliyekuwa
Katibu Mwenezi wa Chadema wilaya ya Meatu Kimwaga Jackson Ndibo
akirudisha vitu vya Chadema zikiwemo kadi, bendera na katiba kwa
viongozi wa CCM baada ya kurudi rasmi.
Mwenyekiti wa
Vijana mkoa wa Simiyu na MNEC wa Itilima Ndugu Njalu Silanga
akikabdihi kadi ya CCM kwa moja ya viongozi wa Chadema Meatu waliorudi
CCM.
Mwenyekiti wa
Vijana mkoa wa Simiyu na MNEC wa Itilima Ndugu Njalu Silanga
akihutubia wakazi wa wilaya ya Meatu na kuwahakikishia wananchi hao CCM
imejipanga kuendelea kuleta maendeleo ya nchini.
Mwenyekiti wa
Vijana Mkoa wa Simiyu na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa wilaya ya
Itilima Ndugu Njalu Silanga (wa katikati) akiwa pamoja na viongozi wa
Chama wilaya ya Meatu.
No comments:
Post a Comment