Thursday, July 31, 2014

NDUGU NJALU SILANGA,MKT WA UVCCM MKOA WA SIMIYU NA MNEC WA CCM WILAYA YA ITILIMA AENDELEA NA SHUGHULI ZAKE ZA KUJENGA CHAMA MKOA WA SIMIYU

Mh Njalu Silanga  katika matukio mbalimbali ya kujenga umoja mkoa wa Simiyu

VIJANA WALIOJISALIMISHA CCM BAADA YA KUPEWA SOMO NA MNEC WA ITILIMA MH NJALU SOLANGA

MKT WA UVCCM MKOA WA SIMIYU NA MNEC WA ITILIMA MH NJALU SILANGA AKIWA KATIKA KIKAO NA WAFANYA BIASHARA JANA SIMIYU

VIJANA WA NJALU SILANGA WAKIWA KATIKA JEZI KABLA YA KUANZA KWA MECHI,MH NJALU ALITOA JEZI NA MIPIRA KWA KILA TIMU YA WILAYA YA ITILIMA

MH NJALU SILANGA KATIKA MKUTANO WA HADHARA SIMIYU

Saturday, July 26, 2014

MH. RIDHIWANI KIKWETE AKAGUA UJENZI WA ZAHANATI KIJIJI CHA KINZAGU, KATA YA LUGOBA

Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Mrisho Kikwete akikagua Ujenzi wa Zahanati katika Kijiji cha Kinzagu, Kata ya Lugoba.
Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Mrisho Kikwete akikagua Ujenzi wa Zahanati katika Kijiji cha Kinzagu, Kata ya Lugoba.